Rasilimali

Pamoja na maelezo ya kina ya kukusaidia kufundisha kila moja wa matokeo, ambayo yatatumwa kwako bila malipo, hapa utapata orodha ya rasilimali za bure ambazo zitakusaidia katika kila kozi.

You are encouraged to always use the Cape Town Commitment as a source document for all the outcomes.

Muhimu! Katika hali zote, wanafunzi lazima waweze kutumia walichojifunza katika muktadha wao. Tafadhali tuma karatasi ya tathmini kwa kila mwanafunzi mwishoni mwa programu, kwa anwani iliyotolewa kwenye karatasi.

Matokeo yote yanaanza na "Wanafunzi wataweza …"

1. Kuongoza kama Yesu

  1. Zaa tunda la Roho katika nyanja zote za maisha na kuuishi unyenyekevu, uadilifu na usahili (kutokujifanya)
  2. Kuorodhesha, kueleza na kufanyia kazi mambo ya kiroho.
  3. kueleza na kuonyesha kanuni 5 muhimu, za kibiblia za maombi kama msingi wa huduma zote.
  4. kueleza kanuni za ibada ya kibinafsi na ya ushirika na kueleza jinsi ya kuzitekeleza kama mtindo wa maisha.
  5. Kutumia kanuni za kimaadili za kibiblia katika mahusiano kanisani au kwenye huduma.
  6. Kueleza jinsi mtazamo wa Yesu juu ya wanawake na watoto unapaswa kulibadilisha kanisa.
  7. Kueleza msingi wa kibiblia wa uwakili wa muda, uwezo, rasilimali, na uumbaji.
  8. Kueleza umuhimu wa kanisa.
  9. ueleza msingi wa kibiblia wa ubatizo na Meza ya Bwana.
  10. Kueleza jinsi ya kupanga na kusimamia kanisa au huduma kwa ubora na uadilifu.
  11. Kueleza jinsi nguvu za Kristo zinavyoshinda tamaa ya mwili, ya ulimwengu na ya ibilisi.
Kuongoza kama Yesu

2. Kulitumia Neno

  1. Kueleza 'Simulizi kuu' ya Biblia nzima pamoja Yesu akiwa katikati ya mpango wa Mungu wa wokovu.
  2. Kutambulisha vitabu 3 katika kila aina ya uandishi katika Biblia kwa kubainisha mwandishi, kipindi, madhumuni na aina ya uandishi.
  3. Kufanya muhtasari wa angalau mafundisho makuu 5 ya Yesu.
  4. Kueleza umuhimu wa kifo na ufufuka kwa Yesu.
  5. Kueleza matukio makuu 5 katika kitabu cha Matendo ya mitume.
  6. Kuandaa na kuhubiri au kufundisha Neno la Mungu kwa ufanisi.
  7. Amini, eleza na kuweka katika matendo mafundisho muhimu ya Biblia.
  8. Kueleza ni kwa namna gani "injili ya mafanikio" si ya kibiblia na si ya kimaadili.
  9. Onyesha mtazamo wa ulimwengu wa kibiblia ulivyo juu ya mitazamo mbadala ya ulimwengu katika muktadha wao.
  10. Eleza matukio 3 muhimu, kila moja kutoka kwa kipindi tofauti katika historia ya Kanisa.
  11. Eleza mizizi ya kihistoria ya madhehebu yao (au harakati za kanisa).
Kulitumia Neno

3. Kuwafikia na Kuwafanya Wanafunzi

  1. Shirikisha injili kwa ufanisi kwa familia, marafiki na wageni.
  2. Kuhamasisha na kushawishi wengine kwa ajili ya utume wa Mungu.
  3. Mwongoze angalau mtu mmoja katika aina maalum ya uinjilisti au utume.
  4. Eleza jinsi wanaweza kutekeleza kielelezo cha Yesu cha kufanya wanafunzi.
  5. Tambua na uwafundishe angalau watu wengine watatu kuhudumu katika aina fulani ya huduma ya kanisa.
  6. Eleza jinsi Biblia inavyopaswa kuhusiana na kutafsiri utamaduni katika muktadha wao.
  7. Tumia teknolojia na mitandao ya kijamii kwa makusudi katika huduma.
Kuwafikia na Kuwafanya Wanafunzi

4. Kuchunga Watu wa Mungu

  1. Onyesha uongozi wa kitumishi unaofananana ule wa Kristo.
  2. Onyesha huruma, ukarimu na msamaha katika mahusiano yote (wakiwemo watu wenye mahitaji maalum).
  3. Kufariji na kusaidia wengine wakati wa shida (yaani kifo, shida za ndoa, ugonjwa, n.k.).
  4. Wasaidie watu wanaotegemea kuoana kujiandaa kwa ajili ya ndoa yao.
  5. Kujihusisha wenyewe katika huduma kwa, watoto na vijana.
  6. Eleza majukumu ya waume na wake katika kukuza uaminifu na upendo katika ndoa na familia.
  7. Eleza athari za akina baba watoro.
  8. Suluhisha migogoro katika mahusiano.
Kuchunga Watu wa Mungu

Katika ukurasa huu utapata rekodi fupi, za kusaidia ambazo zitakusaidia, kama mwezeshaji, kuwafundisha wanafunzi wako

0. Introduction

01. Outcomes- what are they?
02. The Role of the Facilitator
03. Class participation
04. The Cape Town Commitment
05. Intro & Overview

1. Leading like Jesus

01. Outcome 1
02. Outcome 1 Part 2
03. Outcome 2 Part 1
04. Outcome 2 Part 2
05. Outcome 3
06. Outcome 4
07. Outcome 5
08. Outcome 6 Part 1
09. Outcome 6 Part 2
10. Outcome 6 Part 3
11. Outcome 7
12. Outcome 8
13. Outcome 9
14. Outcome 10
15. Outcome 11

2. Handling the Word

01. Outcome 1 Part 1
02. Outcome 1 Part 2
03. Outcome 1 Part 3
04. Outcome 1 Part 4
05. Outcome 1 Part 5
06. Outcome 2 Part 1
07. Outcome 2 Part 2
08. Outcome 2 Part 3
09. Outcome 2 Part 4
10. Outcome 3 Part 1
11. Outcome 3 Part 2
12. Outcome 4
13. Outcome 5
14. Outcome 6 Part 1
15. Outcome 6 Part 2
16. Outcome 6 Part 3
17. Outcome 7 Part 1
18. Outcome 7 Part 2
19. Outcome 7 Part 3
20. Outcome 7 Part 4
21. Outcome 8 Part 1
22. Outcome 8 Part 2
23. Outcome 8 Part 3
24. Outcome 9
25. Outcome 10 Part 1
26. Outcome 10 Part 2
27. Outcome 10 Part 3
28. Outcome 11

3. Reaching and Making Disciples

01. Outcome 1
02. Outcome 2 Part 1
03. Outcome 2 Part 2
04. Outcome 3.3 Part 1
05. Outcome 3.3 Part 2
06. Outcome 3.3 Part 3
07. Outcome 3.3 Part 4
08. Outcome 4
09. Outcome 5
10. Outcome 6
11. Outcome 7

4. Shepherding God's People

01. Outcome 1 Part 1
02. Outcome 1 Part 2
03. Outcome 2 Part 1
04. Outcome 2 Part 2
05. Outcome 3 Part 1
06. Outcome 3 Part 2
07. Outcome 4
08. Outcome 5 Part 1
09. Outcome 5 Part 2
10. Outcome 5 Part 3
11. Outcome 6 Part 1
12. Outcome 6 Part 2
13. Outcome 7 Part 1
14. Outcome 7 Part 2
15. Outcome 8 Part 1
16. Outcome 8 Part 2
17. Outcome 8 Part 3

0. Introduction

01. Résultats – quels sont-ils
02. Le rôle du facilitateur
03. Participation en classe
04. L'engagement du Cap
05. Introduction et aperçu

1. Diriger comme Jésus

01. Résultat 1
02. Résultat 2
03. Résultat 3
04. Résultat 4
05. Résultat 5
06. Résultat 6
07. Résultat 7
08. Résultat 8
09. Résultat 9
10. Résultat 10
11. Résultat 11

2. Manipuler la Parole

01. Résultat 1 (Partie 1)
02. Résultat 1 (Partie 2)
03. Résultat 2
04. Résultat 3
05. Résultat 4
06. Résultat 5
07. Résultat 6
08. Résultat 7
09. Résultat 8
10. Résultat 9
11. Résultat 10
12. Résultat 11

3. Atteindre et faire des disciples

01. Résultat 1
02. Résultat 2
03. Résultat 3
04. Résultat 4
05. Résultat 5
06. Résultat 6
07. Résultat 7

4. Berger le peuple de Dieu

01. Résultat 1
02. Résultat 2
03. Résultat 3
04. Résultat 4
05. Résultat 5 (Partie 1)
06. Résultat 5 (Partie 2)
07. Résultat 6
08. Résultat 7
09. Résultat 8

0. Introdução

01. Resultados - o que são?
02. O papel do facilitador
03. Participação na aula
04. Compromisso da Cidade do Cabo
05. Introdução e visão geral

1. Liderar como Jesus

01. Resultado 1
02. Resultado 2
03. Resultado 3
04. Resultado 4
05. Resultado 5
06. Resultado 6
07. Resultado 7
08. Resultado 8
09. Resultado 9
10. Resultado 10
11. Resultado 11

2. Manuseio da Palavra

01. Resultado 1 (Parte 1)
02. Resultado 1 (Parte 2)
03. Resultado 2
04. Resultado 3
05. Resultado 4
06. Resultado 5
07. Resultado 6
08. Resultado 7
09. Resultado 8
10. Resultado 9
11. Resultado 10
12. Resultado 11

3. Alcançar e fazer discípulos

01. Resultado 1
02. Resultado 2
03. Resultado 3
04. Resultado 4
05. Resultado 5
06. Resultado 6
07. Resultado 7

4. Pastoreio do povo de Deus

01. Resultado 1
02. Resultado 2
03. Resultado 3
04. Resultado 4 (Parte 1)
05. Resultado 4 (Parte 2)
06. Resultado 5
07. Resultado 6
08. Resultado 7
09. Resultado 8

0. Introducción

01. Resultados: ¿qué son?
02. El papel del facilitador
03. Participación en clase
04. El Compromiso de Ciudad del Cabo
05. Introducción y descripción general

1. Liderar como Jesús

01. Resultado 1
02. Resultado 2
03. Resultado 3
04. Resultado 4
05. Resultado 5
06. Resultado 6
07. Resultado 7
08. Resultado 8
09. Resultado 9
10. Resultado 10
11. Resultado 11

2. Manejo de la Palabra

01. Resultado 1 (Parte 1)
02. Resultado 1 (Parte 2)
03. Resultado 2
04. Resultado 3
05. Resultado 4
06. Resultado 5
07. Resultado 6
08. Resultado 7
09. Resultado 8
10. Resultado 9
11. Resultado 10
12. Resultado 11

3. Alcanzar y hacer discípulos

01. Resultado 1
02. Resultado 2
03. Resultado 3
04. Resultado 4
05. Resultado 5
06. Resultado 6
07. Resultado 7

4. Pastorear al pueblo de Dios

01. Resultado 1
02. Resultado 2
03. Resultado 3
04. Resultado 4
05. Resultado 5 (Parte 1)
06. Resultado 5 (Parte 2)
07. Resultado 6
08. Resultado 7
09. Resultado 8

0. Utangulizi. Kuongoza kama Yesu

01. Matokeo
02. Tathatmini
03. Ushiriki wa darasa
04. Ahadi ya Cape Town
05. Utangulizi na Muhtasari

1. Kuongoza kama Yesu

01. Tokea la 1.1 Sehemu ya 1
02. Tokea la 1.1 Sehemu ya 2
03. Tokea la 1.2 Sehemu ya 1
04. Tokea la 1.2 Sehemu ya 2
05. Tokea la 1.3
06. Tokea la 1.4
07. Tokea la 1.5
08. Tokea la 1.6 Sehemu ya 1
09. Tokea la 1.6 Sehemu ya 2
10. Tokea la 1.7
11. Tokea la 1.8
12. Tokea la 1.9
13. Tokea la 1.11 Sehemu ya 1
14. Tokea la 1.10
15. Tokea la 1.11 Sehemu ya 2

2. Kulitumia Neno

01. Tokea la 2.1 Sehemu ya 1
02. Tokea la 2.1 Sehemu ya 2
03. Tokea la 2.2
04. Tokea la 2.3
05. Tokea la 2.4
06. Tokea la 2.5
07. Tokea la 2.6
08. Tokea la 2.7
09. Tokea la 2.8
10. Tokea la 2.9
11. Tokea la 2.10
12. Tokea la 2.11

3. Kuwafikia na Kuwafanya Wanafunzi

01. Tokea la 3.1
02. Tokea la 3.2
03. Tokea la 3.3 Sehemu ya 1
04. Tokea la 3.3 Sehemu ya 2
05. Tokea la 3.4
06. Tokea la 3.5
07. Tokea la 3.6
08. Tokea la 3.7

4. Kuchunga Watu wa Mungu

01. Tokea la 4.1
02. Tokea la 4.2
03. Tokea la 4.3
04. Tokea la 4.4
05. Tokea la 4.5 Sehemu ya 1
06. Tokea la 4.5 Sehemu ya 2
07. Tokea la 4.6
08. Tokea la 4.7
09. Tokea la 4.8

Ikiwa unaishi Afrika unaweza kupakua Africa Study Bible BILA MALIPO kwa mwaka mmoja kwenye App store.